M-PESA KUTOA 27 BILLIONI KAMA BONUS

Kampuni kubwa sana duniani vodacom imetenga jumla ya billioni 27 kwa ajili ya bonus nahis wengine tayari .shaanza kupata bonus hizo na mmekuwa  mkijiuliza maswari labda laini zenu zimebadilisha na kuwa mpesa hapana ni faida ya miamala yote mmekuwa mkifanya.

Director wa vodacom nchini Tanzania amesema anafurahia kushea mafanikio  yake na watumiaji wa vodacom mr. Hisham hendi  alizungumza ayo na akasema siku ya leo gawiwo ilo litazidi kuendelwa ambapo wateja billioni 8 washa pata gawiwo ilo

Hendi alisema gawiwo ilo litaendelea kupamba moto adi mwezi wa saba kwa watumiaji wote wa mpsa watapewa gawiwo ilo kama sehemu ya mafanikio ya vodacom

Pia alisema vodacom imekuwa kampuni bora inayo ongoza kushea ambayo inaongoza kwa kushea mafanikio na wateja wake na imekuwa kampuni inayo ongoza kwa miamala bora uku ikifanya jumla ya trioni 4.1 kwa mwezi kama jumla ya miamala

Manager uyo kawashauri wananchi kutumia mtandao kukuza teknologia ili kuwezesha uzalishaji katika shughuli zao.

Post a Comment

Thanks for visiting negnew.com link with us for more new and popular songs.
we shall be gratigul when you will share to friends and fellows

Previous Post Next Post