Karibu mfatiliaji wa makala ya negnew.com site ambayo utapata unuzi , ubunifu na kupata mawazo mazuri ya kimaendeleo.
Leo somo letu linajikita zaidi katika mafanikio yatokanayo na kilimo, watu tulio wengi tumekuwa na mawazo mbali mbali juu ya uwekezaji ila sehemu nzuri ya kuwekeza ni katika kilimo.
Bila kupoteza wakati tuwaze hivi inaweza puta siku bila kula? Kunywa ama bila mahitaji ya afya? .yote aya ni mazao ya kilimo.
Mbinu mbali mbali za kilimo,
Kilimo cha bustani
Iki ni kilimo cha mda mfupi sana na kinahitaji mtaji mdogo sana kulinganisha na kilimo cha mazao mengine
Faida za kilimo cha bustani
i). Kinatumia mda mfupi adi kuvuna ambavyo kilimo kama nyanya kinatumia miezi mitatu adi nne na apo mkulima anavuna. Nyanya ni zao ambalo linastaimili mazingira mbali mbali ijapo kuwa ni zao lonalo shambuliwa na maladhi ya mimea sana usikose kufatilia www.negnew.com kwa taarifa na ujuzi zaidi juu ya kilimo ichi cha nyanya.
ii). Kilimo cha tikiti, iki ni kilimo chenye faida sana kwa mkulima ambapo akifanya vixuri bas yrye baada ya kuvuna anavuka atua aliyo kuwa nayo na kwenda katika utajili.
Kilimo iki utumia mda mchache sana kama mieezi mitatu adi minne kukomaa na baada ya apo mkulima anaweza peleka sokoni zao lake. Zao ili lina bei nzuri sokoni ambapo kadilio la chini kwa tikiti lenye kilo saba si chini ya elfu mbili 2000/= esabu umelima kiasi gani na utapata vipi apo na kama huelewi namna ya kuilea tikiti adi kufikisha uzito huu usipate taabu fatilia site hii ya negnew.com utapata elimu ya kutosha na utanipa matokeo baada ya kuanza.
iii). Kilimo cha pili pili oho. Kati ya zao ambalo bri yake haichuji sana sokoni ni zao la oho zao ili ustaimili mazingira mbali mbali ila ni vzur zaid kulipanda sehem ya mwinuko. Na linataratibu zake na matunzo ila linalipa sana. Gunia lina gharama takribani 90000/= na likishuka linakaa kwebye 50000/= ili kujifunza namana ya kulima na kupata mazao mengi ya oho usikose kufatilia katika site hii ya negnew.com.
Leo ntaishia apa lakini makala zijazo ntaeleza kwa kina kuhusu namna ya mtu anavyo fanikiwa kwa uraisi zaidi kupitia kilimo ata kama unakaa mjini kati kati.

💪💪💪💪💪💪💪
ReplyDeletePost a Comment
Thanks for visiting negnew.com link with us for more new and popular songs.
we shall be gratigul when you will share to friends and fellows